kali
Boja boja-boda boda
Boja boja-boda boda
subsnyuti badala ya substitute
saa kumi na mbeya mbili giza badala ya saa kumi na mbili mbeya giza
MAFUTA STAR badala ya MASUPER STAR..
li acamedic instead of li academic
zima mlango funga taa-funga mlango zima taa
naomba chipsi kaki na mishkavu badala ya mishkaki na chpsi kavu
kalia mbali gongo la koo wapi mboto-badala ya kariakoo wapi gongo la mboto mbali !ha dc z kiln!
nyot book instead of note book
“intrombusion….introduction“